Like Us

Akothee Akanusha kumuongelea vibaya Tanasha wa Diamond


Msanii Akothee kutoka Kenya amekanusha kumuongelea vibaya Tanasha kuwa ana rekebisha sana picha zake mtandaoni ili kuonekana mwembamba.
-
Akothee anadai Stori hio sio ya kweli, hana muda wa kumuongelea mwanamke mwenzake vibaya ili kumshusha na hayo sio maisha yake, Akothee anasema >"Kama kuna kitu sipendi ni ujinga na kugonganisha watu! I have no business with peoples lives, I dont even know what's going on in her life, all I know is that she just gave birth barely 3 months ago and as a mother She has all the time to breast feed her baby and feel herself! I have no time to put a woman down".
-
Akothee ameandika>Tanasha anaumri sawa na watoto wangu wa kike, akiamua kuEdit picha zake ni mpango wake.

Post a Comment

0 Comments