Like Us

DIAMOND avunja UKIMYA autaja wimbo wa ALIKIBA anaoupenda ZAIDI, ajirekodi akiimba


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa Wasafi Media Diamond Platnumz amerekodi video na kupost kwenye Insta Story kwenye ukurasa wake wa Instagram akiusikiliza wimbo wa Alikiba #HADITHI na kusema kuwa ndio wimbo wake bora kutoka kwa Kiba.

Diamond Platnumz alirekodi video hiyo mara tu baada ya kutua Dar Es Salaam akitokea KIGOMA baada ya kumaliza show yake ya miaka 10 akiwa kwenye muziki wa Bongo Fleva.

Post a Comment

0 Comments