Like Us

DORAH: "Nampenda Sana HARMONIZE, Anafaa kwa Matumizi/SARAH KANIWAHI"

Msanii, Wanswekula Zacharia Lotti, maarufu kwa jina la Dorah (24), anayetamba katika tamthilia ya KAPUNI, amekuja na hisia nyingine kali, kwa kuelezea hisia zake kuhusu mwanamuziki maarufu bongo, Harmonize, ambaye ana mchumba mzungu aitwae Sarah "Nampenda Sana Harmonize, Anafaa kwa Matumizi / Sarah Kaniwahi", msikilize hapa...

Post a Comment

0 Comments