Like Us

JUSTIN BIEBER Aweka Wazi UGONJWA hatari unaomsumbua

Mwanamuziki Maarufu Duniani Kutokea Canada Justin Bieber Ameweka Wazi Kuwa Amekuwa Akisumbuliwa Na Ugonjwa Wa Lyme Unaosababishwa Na Bacteria Wanaosambazwa Na Wadudu Aina Ya Kupe .
Bieber Ameongeza Kuwa Amekuwa Akisumbuliwa Pia Na Maambukizi Sugu Ya Virusi
.
Bieber Amefunguka Hayo Baada Ya Tuhuma Nyingi Za Matumizi Ya Dawa Za Kulevya Juu Yake Baada Ya Kusambaa Kwa Picha Akionekana Mgonjwa Huku Akiwa Na Vipele Usoni
.
Ugonjwa Wa Lyme Husababishwa Na Bacteria Wanaosambazwa Na Kupe Na Dalili Zake Ni Kutokwa Na Mabaka Mabaka, Vipele, Uchovu, Homa, Kuvimba Kwa Tezi Na Hata Maumivu Ya Viungo

Post a Comment

0 Comments