Like Us

Muonekano Mpya wa Ray C


Picha ya Muonekano mpya wa staa wa bongo fleva Ray C imeanza ku-trend Instagram. Picha hii mpya aliyoweka Ray C inamuonyesha ktk kitanda akiwa amevalia nguo flani yaki mahaba. - 
Ray C kwa sasa yupo nchini Ufaransa na kama unakumbuka Jan 22 mwaka huu aliuliza mashabiki zake kama aindele na muziki au astaafu>>"Sauti ya kushoto inaniambia achana na muziki! Sauti ya kulia inaniambia ingia studio! Studio kibao Paris sema hata sina time!sijui...... 😂🙆‍♀️Ipi niiskilize!?!🤷‍♀️"

Post a Comment

0 Comments